Msaada katika lugha zaidi / Help in more languages

Tuna maelezo katika lugha zaidi ya kukusaidia kutumia huduma za serikali.

Viungo hivi vitakuondoa kutoka kwenye myGov:

Zungumza na mkalimani

Pigia Translating and Interpreter Service (TIS National) kwa bure kwenye 131 450, na uwaombe wakuunganishe na huduma ya serikali unayohitaji.

Ili kuzungumza na mtu kwa lugha yako piga simu:


Page last updated: 19 February 2024